expr:class='"loading" + data:blog.mobileClass'>

Saturday, 13 August 2016

Zari ni mjamzito tena, Diamond adai ni mtoto wa kiume


Diamond atafuta jina la mtoto wake wa kiume baada ya
mapema mwezi huu mkali huyo kuthibitisha ujio wa mtoto wake wa pili kutoka kwa mpenzi wake Zari.
Muimbaji huyo alidai kuwa mwezi Disemba mwaka huu anatarajia kupata mtoto huyo wa kiume, lakini baada ya hapo hatakuwa na mpango wa kuongeza mtoto mwingine.
Kwa sasa Diamond ameonekana kutafakari jina la kumpatia mtoto wake huyo mtarajiwa baada ya kutumia mtandao wa Instagram kumwandikia ujumbe mpenzi wake Zari ampatie jina la mtoto wao huyo.
Looking so sexy, my Beautiful and cute Wife @zarithebosslady😚 ðŸ’ž!!!… Please tell what would you like me to name my Upcoming Son?…
(Tafadhali niambie Mtoto wangu wa kiume unadhani akija nimwite jina gani…?)