Baada ya video ya wimbo Inde alioshirikishwa na Dully Sykes kutoka,
mashabiki ndio wamezidi kuendelea kusisitiza kuwa msanii huyo anamuiga
kwa kiasi kikubwa Diamond.
Harmonize ambaye mara nyingi amekuwa akisisitiza kuwa ndivyo yeye
alivyo na yeye sasa ameonekana kuchoshwa na malalamiko ya mashabiki hao
ambapo amejikuta akiandika ujumbe wenye utata kwenye Instagram: