Dj Wa Diamond Platnumz Amla Denda Mgeni Kwenye Birthday Yake
Ambaye anayejulikana kama Dj wa Diamond Platnumz kwa jina Romy Jones, siku chache nyuma alifanya bonge moja la sherehe,katika muda wa kukata keki kachukua keki kaiweka mdomoni na kumlisha binti na kufanya vengine kabisa...